Zaburi 26:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu. Biblia Habari Njema - BHND nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nikiimba wimbo wa shukrani, na kusimulia matendo yako yote ya ajabu. Neno: Bibilia Takatifu nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. Neno: Maandiko Matakatifu nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. BIBLIA KISWAHILI Ili niitangaze sauti ya kushukuru, Na kuzisimulia kazi zako za ajabu. |
BWANA ndiye aliye Mungu, Naye ndiye aliyetupa nuru. Ifungeni dhabihu kwa kamba Pembeni mwa madhabahu.
Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.
Naye alipomwachisha kunyonya, akamchukua pamoja naye, na ng'ombe watatu, na efa moja ya unga, na chupa ya divai, akamleta nyumbani kwa BWANA, huko Shilo; na yule mtoto alikuwa mtoto mdogo.