Zaburi 26:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Sikai pamoja na watu waovu, Wala sitaingia kuwa pamoja na wanafiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki. Biblia Habari Njema - BHND Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sijumuiki na watu wapotovu; sishirikiani na watu wanafiki. Neno: Bibilia Takatifu Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki, Neno: Maandiko Matakatifu Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani na wanafiki, BIBLIA KISWAHILI Sikai pamoja na watu waovu, Wala sitaingia kuwa pamoja na wanafiki. |
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Sikuketi katika mkutano wao wanaojifurahisha, wala sikufurahi, niliketi peke yangu kwa sababu ya mkono wako; kwa maana umenijaza ghadhabu.
Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.