Ee mfalme, bwana wangu, macho ya Israeli wote yanakuelekea wewe, kwamba uwaambie ni nani atakayeketi katika kiti chako cha enzi baada yako, Ee mfalme, bwana wangu.
Zaburi 25:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni. Biblia Habari Njema - BHND Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Namwangalia Mwenyezi-Mungu daima; yeye atainasua miguu yangu mtegoni. Neno: Bibilia Takatifu Macho yangu humwelekea Mwenyezi Mungu daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego. Neno: Maandiko Matakatifu Macho yangu humwelekea bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego. BIBLIA KISWAHILI Macho yangu humwelekea BWANA daima, Naye atanitoa miguu yangu katika wavu. |
Ee mfalme, bwana wangu, macho ya Israeli wote yanakuelekea wewe, kwamba uwaambie ni nani atakayeketi katika kiti chako cha enzi baada yako, Ee mfalme, bwana wangu.
Ee Mungu wetu, je! Hutawahukumu? Maana sisi hatuna uwezo juu ya jamii kubwa hii, wanaotujia juu yetu; wala hatujui tufanyeje; lakini macho yetu yanatazama kwako.
Kama vile macho ya watumishi Yanavyoutegemea mkono wa bwana zao Kama macho ya mjakazi Yanavyoutegemea mkono wa bimkubwa wake; Ndivyo macho yetu yanavyomtegemea BWANA, Mungu wetu, Hadi atakapoturehemu.
Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huvizia kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu.