Uniwezeshe kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unifundishe njia nitakayoiendea, Kwa maana ninakuinulia nafsi yangu.
Zaburi 25:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu! Biblia Habari Njema - BHND Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mwenyezi-Mungu, kwako naielekeza nafsi yangu! Neno: Bibilia Takatifu Kwako wewe, Ee Mwenyezi Mungu, naweka tumaini yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Kwako wewe, Ee bwana, nainua nafsi yangu, BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, nakuinulia nafsi yangu, |
Uniwezeshe kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unifundishe njia nitakayoiendea, Kwa maana ninakuinulia nafsi yangu.
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiweka nafsi yake katika uongo, Wala hakuapa kwa hila.
Hana akajibu, akasema, Hasha! Bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye roho ya huzuni, mimi sikunywa divai wala kileo, ila nimeimimina roho yangu mbele za BWANA.