Zaburi 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Biblia Habari Njema - BHND Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fungukeni enyi malango, fungukeni enyi milango ya kale, ili Mfalme mtukufu aingie. Neno: Bibilia Takatifu Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia. Neno: Maandiko Matakatifu Inueni vichwa vyenu, enyi malango, viinueni juu enyi milango ya kale, ili Mfalme wa utukufu apate kuingia. BIBLIA KISWAHILI Inueni vichwa vyenu, enyi malango, Naam, viinueni, enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia. |