Zaburi 22:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Baba zetu walikutumainia Wewe, Walitumainia, na Wewe ukawaokoa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Biblia Habari Njema - BHND Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wazee wetu walikutegemea; walikutegemea, nawe ukawaokoa. Neno: Bibilia Takatifu Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. BIBLIA KISWAHILI Baba zetu walikutumainia Wewe, Walitumainia, na Wewe ukawaokoa. |
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru BWANA nao wakipaza sauti pamoja na panda na matoazi na vinanda, wakimsifu BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya BWANA,
Israeli akaiona ile kazi kubwa aliyoifanya BWANA juu ya Wamisri, ndipo hao watu wakamcha BWANA, wakamwamini BWANA, na Musa mtumishi wake.