Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Zaburi 22:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati. Biblia Habari Njema - BHND Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi. Neno: Maandiko Matakatifu Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi. BIBLIA KISWAHILI Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu Na wakati wa usiku lakini sipati raha. |
Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku, Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?
Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao?
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
usiku na mchana tunapoomba kwa juhudi tupate kuwaona nyuso zenu, na kuurekebisha upungufu wa imani yenu?
Namshukuru Mungu, nimwabuduye kwa dhamiri safi tangu zamani za wazee wangu, kama vile nikukumbukavyo wewe daima, katika kuomba kwangu usiku na mchana.