Walipokwisha kumsulubisha, waligawana mavazi yake, kwa kupiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]
Zaburi 22:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu. Biblia Habari Njema - BHND Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanagawana nguo zangu, na kulipigia kura vazi langu. Neno: Bibilia Takatifu Wanagawana nguo zangu, na vazi langu wanalipigia kura. Neno: Maandiko Matakatifu Wanagawana nguo zangu wao kwa wao, na vazi langu wanalipigia kura. BIBLIA KISWAHILI Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura. |
Walipokwisha kumsulubisha, waligawana mavazi yake, kwa kupiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]
Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo. Wakagawa mavazi yake, wakipiga kura.