Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Zaburi 21:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kulia utawapata wanaokuchukia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Biblia Habari Njema - BHND Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mkono wako ewe mfalme utawakamata maadui zako wote; mkono wako wa kulia utawakamata wanaokuchukia. Neno: Bibilia Takatifu Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. Neno: Maandiko Matakatifu Mkono wako utawashika adui zako wote, mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. BIBLIA KISWAHILI Mkono wako utawapata adui zako wote, Mkono wako wa kuume utawapata wanaokuchukia. |
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Kama vile mkono wangu ulivyofikia falme za sanamu, ambazo sanamu zao za kuchongwa zilikuwa bora kuliko sanamu za Yerusalemu na za Samaria;
Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.
Na upanga mkali hutoka kinywani mwake ili kwa upanga huo awapige mataifa. Naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, naye anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ghadhabu ya hasira ya Mungu Mwenyezi.
Na hata ijapokuwa binadamu angeinuka akuwinde, na kuitafuta nafsi yako, hiyo nafsi ya bwana wangu itafungwa katika furushi ya uhai pamoja na BWANA, Mungu wako; na nafsi za adui zako ndizo atakazozitupa nje, kama kutoka kati ya kombeo.
Tena vita vilikuwa vikali sana juu ya Sauli, na wapiga upinde wakampata; hata akafadhaika sana kwa sababu ya wapiga upinde.