Zaburi 21:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Biblia Habari Njema - BHND Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umemtimizia matakwa ya moyo wake; wala hukumkatalia ombi lake. Neno: Bibilia Takatifu Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. Neno: Maandiko Matakatifu Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. BIBLIA KISWAHILI Umempa haja ya moyo wake, Wala hukumzuilia matakwa ya midomo yake. |
Na jicho langu limeona kuanguka kwa adui zangu, Sikio langu limesikia maangamizi ya waovu walionishambulia.
Naye, kwa sababu hii, anaweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu hai sikuzote ili awaombee.
Naye Hana akaomba, akasema, Moyo wangu wamshangilia BWANA, Pembe yangu imetukuka katika BWANA, Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu; Kwa kuwa naufurahia wokovu wako;