Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.
Zaburi 21:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Biblia Habari Njema - BHND Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utawaangamiza wazawa wao kutoka duniani; watoto wao hawatasalia kati ya binadamu. Neno: Bibilia Takatifu Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani, uzao wao kutoka wanadamu. BIBLIA KISWAHILI Matunda yao utayaharibu na kuyaondoa katika nchi, Na wazao wao katika wanadamu. |
Mtu atakayeigusa hiyo, Na awe na chuma na mpini wa mkuki, Nao watateketezwa papo hapo kwa moto.
Kila aliyetaka akamweka wakfu, ili wawepo makuhani wa mahali pa juu. Jambo hilo likawa dhambi kwa nyumba ya Yeroboamu, hata kuiharibu, na kuifuta usoni pa nchi.
Kwa kuwa BWANA hupenda haki, Wala hawaachi watauwa wake. Wao hulindwa milele, Bali mzawa wa wasio haki ataharibiwa.
Hutaungamanishwa pamoja nao katika mazishi, Kwa maana umeiharibu nchi yako, Umewaua watu wako; Kizazi chao watendao uovu hakitatajwa milele.
Kwa maana, angalieni, siku ile inakuja, inawaka kama tanuri; na watu wote wenye kiburi, nao wote watendao uovu, watakuwa makapi; na siku ile inayokuja itawateketeza, asema BWANA wa majeshi; hata haitawaachia shina wala tawi.