Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Zaburi 2:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako. Biblia Habari Njema - BHND Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Niombe nami nitakupa mataifa yawe urithi wako, na dunia nzima kuwa mali yako. Neno: Bibilia Takatifu Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, na miisho ya dunia kuwa milki yako. Neno: Maandiko Matakatifu Niombe, nami nitayafanya mataifa kuwa urithi wako, miisho ya dunia kuwa milki yako. BIBLIA KISWAHILI Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako. |
Miisho yote ya dunia itakumbuka, Na watu watamrejea BWANA; Jamaa zote za mataifa watamsujudia.
Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wote wa dunia.
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.