Zaburi 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mbona mataifa yanafanya ghasia, Na watu kuwaza mambo ya bure? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure? Biblia Habari Njema - BHND Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa nini mataifa yanafanya ghasia? Mbona watu wanafanya njama za bure? Neno: Bibilia Takatifu Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na makabila ya watu kula njama bure? Neno: Maandiko Matakatifu Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, na kabila za watu kula njama bure? BIBLIA KISWAHILI Mbona mataifa yanafanya ghasia, Na watu kuwaza mambo ya bure? |
Ungameni pamoja, enyi makabila ya watu, Nanyi mtavunjwa vipande vipande; Tegeni masikio, ninyi nyote wa nchi zilizo mbali; Jitahidini, nanyi mtavunjwa vipande vipande; Jitahidini, nanyi mtavunjwa vipande vipande.
Lakini wale wakulima walipomwona yule mwana, wakasemezana wao kwa wao, Huyu ni mrithi; haya na tumwue, tuutwae urithi wake.
Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa Mataifa, atafanyiwa dhihaka; atatendwa jeuri, na kutemewa mate;
Makutano wote wakaondoka wakawaendea, mahakimu wakawavua nguo zao kwa nguvu, wakatoa amri wapigwe kwa bakora.
Hawa watafanya vita na Mwana-kondoo, na Mwana-kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.