tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.
Zaburi 19:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakuna usemi wala maneno, Sauti yao haisikilikani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; Biblia Habari Njema - BHND Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; Neno: Bibilia Takatifu Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki. Neno: Maandiko Matakatifu Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki. BIBLIA KISWAHILI Hakuna usemi wala maneno, Sauti yao haisikilikani. |