Zaburi 18:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo nitakutukuza kati ya mataifa, ee Mwenyezi-Mungu nitaliimbia sifa jina lako. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hiyo nitakusifu katika mataifa, Ee Mwenyezi Mungu; nitaliimbia sifa jina lako. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee bwana; nitaliimbia sifa jina lako. BIBLIA KISWAHILI Basi, BWANA, nitakushukuru kati ya mataifa, Nami nitaliimbia jina lako. |
Laiti wokovu wa Israeli ungetoka katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
tena ili Mataifa wamtukuze Mungu kwa ajili ya rehema zake; kama ilivyoandikwa, Kwa hiyo nitakushukuru kati ya Mataifa, Nami nitaliimbia jina lako.
Nakuagiza mbele za Mungu anayevihifadhi hai vitu vyote, na mbele za Kristo Yesu, aliyeyaungama maungamo mazuri yale mbele ya Pontio Pilato,