Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwapa amani pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.
Zaburi 18:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawe umenipa nguvu za vita, Hunitiishia chini yangu walionishambulia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha maadui chini yangu. Biblia Habari Njema - BHND Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha maadui chini yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe ulinijalia nguvu ya kupigana vita; uliwaporomosha maadui chini yangu. Neno: Bibilia Takatifu Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. Neno: Maandiko Matakatifu Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita; uliwafanya adui zangu wasujudu miguuni pangu. BIBLIA KISWAHILI Nawe umenipa nguvu za vita, Hunitiishia chini yangu walionishambulia. |
Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwapa amani pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.
Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini! Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako, Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.
BWANA asema hivi, Kazi ya Misri, na bidhaa ya Kushi, na Waseba, watu walio warefu, watakujia, nao watakuwa wako; watakufuata; watakuja katika minyororo; wataanguka chini mbele yako, watakuomba, wakisema, Hakika Mungu yu ndani yako; wala hapana mwingine, hapana Mungu tena.
akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo
atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote viwe chini yake.