Nami nimewakomesha na kuwapiga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu.
Zaburi 18:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitawapigapiga wasiweze kusimama, Wataanguka chini ya miguu yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Biblia Habari Njema - BHND Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Niliwaangusha chini wasiweze kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Neno: Bibilia Takatifu Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena; walianguka chini ya miguu yangu. BIBLIA KISWAHILI Nitawapigapiga wasiweze kusimama, Wataanguka chini ya miguu yangu. |
Nami nimewakomesha na kuwapiga wasiweze kusimama; Naam, wameanguka chini ya miguu yangu.
Utawafanya kuwa kama tanuri ya moto, Wakati wa ghadhabu yako. BWANA atawameza kwa ghadhabu yake, Na moto utawateketeza.
BWANA atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
Ndipo wakaenda Keila, Daudi na watu wake, wakapigana na hao Wafilisti, wakateka nyara ng'ombe zao, na kuwaua uuaji mkuu. Hivyo Daudi akawaokoa watu wa Keila.
Naye Daudi akawapiga tangu ukungu wa jioni hadi jioni ya siku ya pili; hakuna aliyeokoka, ila vijana mia nne waliopanda ngamia na kukimbia.