Zaburi 18:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hadi wakomeshwe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza. Biblia Habari Njema - BHND Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Niliwafuatia adui zangu na kuwakamata; sikurudi nyuma mpaka nimewaangamiza. Neno: Bibilia Takatifu Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma hadi walipoangamizwa. Neno: Maandiko Matakatifu Niliwafuatia adui zangu na nikawapata, sikurudi nyuma mpaka walipoangamizwa. BIBLIA KISWAHILI Nitawafuatia adui zangu na kuwapata, Wala sitarudi nyuma hadi wakomeshwe. |
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.
Ee BWANA, unifadhili, maana ni katika dhiki, Jicho langu limenyauka kwa masumbufu, Naam, mwili wangu na nafsi yangu.
Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.
Nikaona, na tazama, farasi mweupe, na yeye aliyempanda ana uta, akapewa taji, naye akatoka, huku akishinda tena apate kushinda.