Nami ninajua, Mungu wangu, ya kuwa wewe wajaribu moyo, nawe wapendezwa na unyofu. Nami katika unyofu wa moyo wangu nimeyatoa haya yote kwa hiari yangu mwenyewe; nami sasa nimeona kwa furaha watu wako, waliopo hapa, wakikutolea kwa hiari yao.
Zaburi 18:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nami nilikuwa mkamilifu mbele zake, Nikajilinda na uovu wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Biblia Habari Njema - BHND Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mbele yake sikuwa na hatia; nimejikinga nisiwe na hatia. Neno: Bibilia Takatifu Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. Neno: Maandiko Matakatifu Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. BIBLIA KISWAHILI Nami nilikuwa mkamilifu mbele zake, Nikajilinda na uovu wangu. |
Nami ninajua, Mungu wangu, ya kuwa wewe wajaribu moyo, nawe wapendezwa na unyofu. Nami katika unyofu wa moyo wangu nimeyatoa haya yote kwa hiari yangu mwenyewe; nami sasa nimeona kwa furaha watu wako, waliopo hapa, wakikutolea kwa hiari yao.
Kwa kuwa BWANA ni mwenye haki, Apenda matendo ya haki, Wanyofu wa moyo watauona uso wake.
Umenijaribu moyo wangu, umenijia usiku, Umenichunguza usione neno; Nimenuia kinywa changu kisikose,
BWANA humlipa kila mtu kulingana na haki na uaminifu wake; maana BWANA amekutia mikononi mwangu leo, nami nilikataa kuunyosha mkono wangu juu ya masihi wa BWANA.