Na ahimidiwe BWANA, Mungu wako, aliyependezwa nawe, ili akuweke juu ya kiti cha enzi cha Israeli; kwa kuwa BWANA amewapenda Israeli milele, kwa hiyo amekufanya kuwa mfalme, ufanye hukumu na haki.
Zaburi 18:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akanitoa akanipeleka panapo nafasi, Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alinileta, akaniweka mahali pa usalama; alinisalimisha, kwani alipendezwa nami. Biblia Habari Njema - BHND Alinileta, akaniweka mahali pa usalama; alinisalimisha, kwani alipendezwa nami. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alinileta, akaniweka mahali pa usalama; alinisalimisha, kwani alipendezwa nami. Neno: Bibilia Takatifu Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. Neno: Maandiko Matakatifu Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. BIBLIA KISWAHILI Akanitoa akanipeleka panapo nafasi, Aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami. |
Na ahimidiwe BWANA, Mungu wako, aliyependezwa nawe, ili akuweke juu ya kiti cha enzi cha Israeli; kwa kuwa BWANA amewapenda Israeli milele, kwa hiyo amekufanya kuwa mfalme, ufanye hukumu na haki.
Naam, yeye angekuongoza utoke katika msiba Hata mahali penye nafasi, ambapo hapana kizuizi; Na kilichowekwa mezani pako kingejaa mafuta.
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.