Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Zaburi 18:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wewe, BWANA, nguvu yangu, nakupenda sana; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! Biblia Habari Njema - BHND Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! Neno: Bibilia Takatifu Nakupenda wewe, Ee Mwenyezi Mungu, nguvu yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Nakupenda wewe, Ee bwana, nguvu yangu. BIBLIA KISWAHILI Wewe, BWANA, nguvu yangu, nakupenda sana; |
Ee BWANA, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake, alilala, akawekwa pamoja na baba zake, akaona uharibifu.
mkiwezeshwa kwa uwezo wote, kwa kadiri ya nguvu ya utukufu wake, mpate kuwa na subira ya kila namna na uvumilivu pamoja na furaha;
Na Musa kweli alikuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu kama mtumishi, awe ushuhuda wa mambo yatakayonenwa baadaye;