Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Zaburi 150:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Biblia Habari Njema - BHND Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu! Neno: Bibilia Takatifu Kila chenye pumzi na kimsifu Mwenyezi Mungu. Msifuni Mwenyezi Mungu! Neno: Maandiko Matakatifu Kila chenye pumzi na kimsifu bwana. Msifuni bwana! BIBLIA KISWAHILI Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. |
Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Kinywa changu kitazinena sifa za BWANA; Wote wenye mwili na walihimidi jina lake takatifu milele na milele.
Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi na juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nilivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na kwake Mwana-kondoo, hata milele na milele.