Zaburi 150:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo! Biblia Habari Njema - BHND Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni kwa ngoma na kucheza; msifuni kwa filimbi na banjo! Neno: Bibilia Takatifu msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, Neno: Maandiko Matakatifu msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, BIBLIA KISWAHILI Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; |
Kwa hiyo kinanda changu kimegeuzwa kuwa maombolezo, Na filimbi yangu kuwa sauti yao waliao.
Mavazi yako yote hunukia manemane Na udi na mdalasini. Katika majumba ya pembe Vinubi vimekufurahisha.
Na Miriamu, nabii mwanamke, dada yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
BWANA yu tayari kunipa wokovu. Basi, kwa vinubi tutaziimba nyimbo zangu, Siku zote za maisha yetu nyumbani mwa BWANA.
MUNGU, aliye BWANA, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka.