Zaburi 150:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu wake mkuu. Biblia Habari Njema - BHND Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu wake mkuu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni kwa sababu ya matendo yake makuu; msifuni kwa ajili ya utukufu wake mkuu. Neno: Bibilia Takatifu Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni kwa matendo yake makuu, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. BIBLIA KISWAHILI Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. |
Ee BWANA Mungu, umeanza kumwonesha mtumishi wako ukubwa wako, na mkono wako wa nguvu; kwani kuna mungu gani mbinguni au duniani awezaye kufanya mfano wa kazi zako, na mfano wa matendo yako yenye nguvu?