Zaburi 150:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Biblia Habari Njema - BHND Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mungu katika patakatifu pake; msifuni katika mbingu zake kuu. Neno: Bibilia Takatifu Msifuni Mwenyezi Mungu. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni bwana. Msifuni Mungu katika patakatifu pake, msifuni katika mbingu zake kuu. BIBLIA KISWAHILI Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. |
Sauti ya BWANA yawazalisha ayala, Na kuiacha misitu wazi; Na ndani ya hekalu lake Wanasema, Utukufu!
Ndipo nikaangalia, na tazama, katika anga lililokuwa juu ya vichwa vya makerubi, kulionekana juu yao kana kwamba ni yakuti samawi, kuonekana kama mfano wa kiti cha enzi.
Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.