Mwimbieni BWANA kwa kushukuru, Mwimbieni Mungu wetu kwa kinubi.
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani, mpigieni kinubi Mungu wetu!
Mwimbieni Mwenyezi Mungu kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Mwimbieni bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Enyi falme za dunia, mwimbieni Mungu, Msifuni Bwana kwa nyimbo.
Mwimbieni BWANA sifa kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti tamu.