Zaburi 146:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo. Biblia Habari Njema - BHND Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nitamsifu Mwenyezi-Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu muda wote niishipo. Neno: Bibilia Takatifu Nitamsifu Mwenyezi Mungu maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote ningali hai. Neno: Maandiko Matakatifu Nitamsifu bwana maisha yangu yote; nitamwimbia Mungu wangu sifa wakati wote niishipo. BIBLIA KISWAHILI Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai. |
Sikieni, enyi wafalme; tegeni masikio, enyi wakuu; Mimi, naam mimi, nitamwimbia BWANA; Nitamhimidi BWANA, Mungu wa Israeli.