Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Zaburi 146:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haleluya. Ee nafsi yangu, umsifu BWANA. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni Mwenyezi-Mungu! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Biblia Habari Njema - BHND Msifuni Mwenyezi-Mungu! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni Mwenyezi-Mungu! Umsifu Mwenyezi-Mungu, ee nafsi yangu! Neno: Bibilia Takatifu Msifuni Mwenyezi Mungu! Ee nafsi yangu, umsifu Mwenyezi Mungu, Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni bwana! Ee nafsi yangu, umsifu bwana, BIBLIA KISWAHILI Haleluya. Ee nafsi yangu, umsifu BWANA. |
Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Mhimidini BWANA, enyi matendo yake yote, Mahali pote pa milki yake. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Wenye dhambi waangamizwe katika nchi, Watendao ubaya wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.