Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye Juu sana, Muumba mbingu na nchi,
Zaburi 144:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Vinywa vyao vinasema visivyofaa, Na ambao mikono yao ya kulia ni ya uongo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo. Biblia Habari Njema - BHND ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ambao husema maneno ya uongo, hunyosha mkono kushuhudia uongo. Neno: Bibilia Takatifu ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu. Neno: Maandiko Matakatifu ambao vinywa vyao vimejaa uongo, na mikono yao ya kuume ni midanganyifu. BIBLIA KISWAHILI Vinywa vyao vinasema visivyofaa, Na ambao mikono yao ya kuume ni ya uongo. |
Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, Nimeinua mkono wangu kwa BWANA, Mungu Aliye Juu sana, Muumba mbingu na nchi,
Kinywa chake kimejaa laana, Na hila na dhuluma. Chini ya ulimi wake kuna madhara na uovu,
Husemezana yasiyofaa kila mtu na mwenziwe, Wenye midomo ya kujipendekeza; Husemezana kwa mioyo ya unafiki;
Na mmoja wao akija kunitazama asema uongo, Moyo wake hujikusanyia maovu, Naye atokapo nje huyanena.
Mpango wao ni kumwangusha tu mtu mwenye cheo; Huufurahia uongo. Kwa kinywa chao hubariki; Kwa moyo wao hulaani.
Hula majivu; moyo uliodanganyika umempotosha, asiweze kuiokoa nafsi yake, wala kusema, Je! Sio uongo mkononi mwangu?
Na mkono wako wa kulia ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee kuliko mwili wako wote kutupwa katika Jehanamu.