Zaburi 144:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, uziinamishe mbingu zako, ushuke chini. Uiguse milima ili nayo itoe moshi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi! Biblia Habari Njema - BHND Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uinamishe mbingu zako, ee Mwenyezi-Mungu, ushuke chini! Uiguse milima nayo itoe moshi! Neno: Bibilia Takatifu Ee Mwenyezi Mungu, pasua mbingu zako, ushuke, gusa milima ili itoe moshi. Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, pasua mbingu zako, ushuke, gusa milima ili itoe moshi. BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, uziinamishe mbingu zako, ushuke chini. Uiguse milima ili nayo itoe moshi. |
Mlima wa Sinai wote pia ukatoa moshi, kwa sababu BWANA alishuka katika moto; na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi wa tanuri, mlima wote ukatetemeka sana.
Maana hamkufikia mlima uwezao kuguswa, uliowaka moto, wala wingu jeusi, na giza, na tufani,