Je! Mwanadamu ni kitu gani, hata akawa safi? Huyo aliyezaliwa na mwanamke, hata awe na haki?
Zaburi 144:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjali? Na binadamu hata umwangalie? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie? Biblia Habari Njema - BHND Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ee Mwenyezi-Mungu, mtu ni nini hata umjali? Mwanadamu ni nini hata umfikirie? Neno: Bibilia Takatifu Ee Mwenyezi Mungu, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie? Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, Binadamu ni nini hata umfikirie? BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, mtu ni kitu gani hata umjali? Na binadamu hata umwangalie? |
Je! Mwanadamu ni kitu gani, hata akawa safi? Huyo aliyezaliwa na mwanamke, hata awe na haki?
Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani?