Zaburi 139:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Biblia Habari Njema - BHND Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nikiruka hadi mawio ya jua, au hata mipakani mwa bahari, Neno: Bibilia Takatifu Nikipanda juu kwa mabawa ya mapambazuko, nikikaa pande za mbali za bahari, Neno: Maandiko Matakatifu Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, kama nikikaa pande za mbali za bahari, BIBLIA KISWAHILI Ningezitwaa mbawa za asubuhi, Na kukaa pande za mwisho za bahari; |
Kuchomoza kwake ni katika mwisho wa mbingu, Na kuzunguka kwake ni hadi miisho ya mbingu, Wala hakuna kitu Kisichofikiwa na joto lake.
Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawachomozea, likiwa na uwezo wa kuponya katika miale yake; nanyi mtatoka nje, na kuchezacheza kama ndama watokapo mazizini.