Zaburi 139:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo. Biblia Habari Njema - BHND Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nikipanda juu mbinguni, wewe upo; nikijilaza chini kuzimu, wewe upo. Neno: Bibilia Takatifu Nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko. Neno: Maandiko Matakatifu Kama nikienda juu mbinguni, wewe uko huko; nikifanya vilindi kuwa kitanda changu, wewe uko huko. BIBLIA KISWAHILI Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko; Ningefanya kuzimu kitanda changu, Wewe uko. |
Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.
Ujapopanda juu kama tai, Ijapokuwa kiota chako kimewekwa kati ya nyota, Nitakushusha kutoka huko; asema BWANA.
Akasema, Nilimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu niliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.