Zaburi 139:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nikimbilie wapi ambako roho yako haiko? Niende wapi ambako wewe huko? Biblia Habari Njema - BHND Nikimbilie wapi ambako roho yako haiko? Niende wapi ambako wewe huko? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nikimbilie wapi ambako roho yako haiko? Niende wapi ambako wewe huko? Neno: Bibilia Takatifu Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? Neno: Maandiko Matakatifu Niende wapi nijiepushe na Roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? BIBLIA KISWAHILI Niende wapi nijiepushe na roho yako? Niende wapi niukimbie uso wako? |
Ndipo watu wale wakaogopa mno, wakamwambia, Ni jambo gani hili ulilolitenda! Kwa maana watu wale walijua ya kuwa amekimbia, ajiepushe na uso wa BWANA, kwa sababu alikuwa amewaambia.
Lakini Yona akaondoka akimbilie Tarshishi, apate kujiepusha na uso wa BWANA; akateremka hadi Yafa, akaona merikebu inayokwenda Tarshishi; basi, akalipa nauli, akapanda merikebuni, aende pamoja nao Tarshishi, ajiepushe na uso wa BWANA.
Petro akamwambia, Imekuwaje hata mkapatana kumjaribu Roho wa Bwana? Angalia, miguu yao waliomzika mumeo ipo mlangoni, nao watakuchukua nje wewe nawe.