Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuzielewa?
Zaburi 139:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Biblia Habari Njema - BHND Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maarifa yako yapita akili yangu; ni makuu mno, siwezi kuyaelewa. Neno: Bibilia Takatifu Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. Neno: Maandiko Matakatifu Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, ni ya juu sana kwangu kuyafikia. BIBLIA KISWAHILI Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, Hayadirikiki, siwezi kuyafikia. |
Tazama, hivi ni viunga tu vya njia zake; Na jinsi yalivyo madogo manong'ono tusikiayo katika habari zake! Lakini ngurumo za uweza wake ni nani awezaye kuzielewa?
Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi Miujiza yako na mawazo yako kwetu; Hakuna awezaye kufananishwa nawe; Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri, Ni mengi sana hayahesabiki.
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! Hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazieleweki!