Zaburi 139:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Biblia Habari Njema - BHND Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Neno: Bibilia Takatifu Umenizingira nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu. BIBLIA KISWAHILI Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako. |
Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.
Mungu wa milele ndiye makazi yako, Na mikono ya milele i chini yako. Na mbele yako amemsukumia mbali adui; Akasema, Angamiza.
Nami nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,