Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Zaburi 139:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nawachukia kwa upepo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa. Biblia Habari Njema - BHND Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa. Neno: Bibilia Takatifu Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu. Neno: Maandiko Matakatifu Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu. BIBLIA KISWAHILI Nawachukia kwa upeo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu. |
Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.