Zaburi 139:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wale wanaokusema kwa ubaya, na kutenda maovu juu ya jina lako bure. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako! Biblia Habari Njema - BHND Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanasema vibaya juu yako; wanasema maovu juu ya jina lako! Neno: Bibilia Takatifu Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako. Neno: Maandiko Matakatifu Wanazungumza juu yako wakiwa na kusudi baya, adui zako wanatumia vibaya jina lako. BIBLIA KISWAHILI Wale wanaokusema kwa ubaya, na kutenda maovu juu ya jina lako bure. |
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Ni nani uliyemshutumu na kumtukana? Umeinua sauti yako juu ya nani, na kuinua macho yako juu? Juu ya Mtakatifu wa Israeli.
ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaadhibu wote wasiomcha Mungu, kwa ajili ya kazi zao zote za upotevu walizozitenda bila kumcha Mungu, na kwa ajili ya maneno yote maovu ambayo hao wenye dhambi wasiomcha Mungu wameyanena juu yake.
Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni.