Zaburi 139:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kulia utanishika. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Biblia Habari Njema - BHND hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hata huko upo kuniongoza; mkono wako wa kulia utanitegemeza. Neno: Bibilia Takatifu hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. Neno: Maandiko Matakatifu hata huko mkono wako utaniongoza, mkono wako wa kuume utanishika kwa uthabiti. BIBLIA KISWAHILI Huko nako mkono wako utaniongoza, Na mkono wako wa kuume utanishika. |
Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kulia, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.
Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.