Zaburi 136:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye aliyeumba mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndiye aliyeumba jua, mwezi na nyota; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Ambaye aliumba mianga mikubwa, Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Yeye aliyeumba mianga mikubwa; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
tena usije ukainua macho yako hata mbinguni, na ulionapo jua, na mwezi, na nyota, jeshi la mbinguni lote pia, ukashawishwa na kuviabudu, na kuvitumikia, ambavyo BWANA, Mungu wako amewagawanyia watu wote chini ya mbingu zote.