Zaburi 136:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndiye peke yake atendaye makuu ya ajabu; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Kwake yeye pekee atendaye maajabu makuu, Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Yeye peke yake afanya maajabu makuu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?
Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa.