Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea watu, wala kukubali rushwa.
Zaburi 136:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mshukuruni Bwana wa mabwana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mshukuruni Bwana wa mabwana; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Mshukuruni Bwana wa mabwana; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mshukuruni Bwana wa mabwana; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Mshukuruni Bwana wa mabwana: Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Mshukuruni Bwana wa mabwana: Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Mshukuruni Bwana wa mabwana; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, asiyependelea watu, wala kukubali rushwa.
ambako yeye kwa majira yake atakudhihirisha, yeye aliyehimidiwa, Mwenye uweza peke yake, Mfalme wa wafalme, Bwana wa mabwana;
Hawa watafanya vita na Mwana-kondoo, na Mwana-kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.
Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.