Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.
Zaburi 136:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye akipaye kila kiumbe chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndiye akipaye kila kiumbe chenye uhai chakula; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Yeye akipaye kila kiumbe chakula chake; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Ukajitwalie chakula cha kila namna kinacholika, ukakusanye, nacho kitakuwa ni chakula chenu na chao.