Urithi wa Israeli mtumishi wake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
ziwe riziki ya Israeli, mtumishi wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Urithi kwa Israeli mtumishi wake, Fadhili zake zadumu milele.
Enyi wazawa wa Abrahamu, mtumishi wake; Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Ametuchagulia urithi wetu, Fahari ya Yakobo ampendaye.
Nawe, Israeli, mtumishi wangu; Yakobo, niliyekuchagua; mzao wa Abrahamu, rafiki yangu;