Zaburi 136:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaitoa nchi yao iwe urithi; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele; Biblia Habari Njema - BHND Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akachukua nchi zao akawapa watu wake; kwa maana fadhili zake zadumu milele; Neno: Bibilia Takatifu Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Akatoa nchi yao kuwa urithi, Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Akaitoa nchi yao iwe urithi; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Akawafukuza mataifa mbele yao, Akawapimia urithi kwa kamba, Na kuwakalisha makabila ya Israeli katika hema zao.
Nikawaamuru wakati huo, nikawaambia, BWANA, Mungu wenu, amewapa ninyi nchi hii muimiliki, basi vukeni ng'ambo wenye silaha mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, nyote mlio mashujaa.