Zaburi 136:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema - BHND Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini akawazamisha humo Farao na jeshi lake; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Neno: Bibilia Takatifu Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini alimfagia Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Akamwangusha Farao na jeshi lake katika Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Kwa fadhili zako utawakatilia mbali adui zangu; Na kuwaangamiza wote wanitesao nafsi, Kwa maana mimi ni mtumishi wako.
Kwa mambo ya kutisha utatujibu, Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu. Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia, Na la bahari iliyo mbali sana,