Zaburi 136:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndiye aliyeigawa Bahari ya Shamu sehemu mbili; kwa maana fadhili zake zadumu milele, Biblia Habari Njema - BHND Ndiye aliyeigawa Bahari ya Shamu sehemu mbili; kwa maana fadhili zake zadumu milele, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndiye aliyeigawa Bahari ya Shamu sehemu mbili; kwa maana fadhili zake zadumu milele, Neno: Bibilia Takatifu Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. Neno: Maandiko Matakatifu Kwake yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu, Fadhili zake zadumu milele. BIBLIA KISWAHILI Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele. |
Lakini wana wa Israeli wakaenda katika nchi kavu katikati ya bahari; na hayo maji yalikuwa ni kuta upande wao wa kulia, na upande wao wa kushoto.
Kwa imani wakapita kati ya Bahari ya Shamu, kama katika nchi kavu; Wamisri walipojaribu kufanya vivyo wakatoswa.