Zaburi 135:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa. Biblia Habari Njema - BHND Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; mtukuzeni kwa nyimbo maana inafaa. Neno: Bibilia Takatifu Msifuni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza. Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni bwana, kwa kuwa bwana ni mwema, liimbieni sifa jina lake, kwa maana hilo lapendeza. BIBLIA KISWAHILI Msifuni BWANA kwa kuwa BWANA ni mwema, Liimbieni jina lake kwa maana lapendeza. |
Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu sifa, Maana ni mwenye fadhili, na anastahili kuimbiwa sifa.
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
Akamwambia, Kwa nini uniulize kuhusu wema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia katika uzima, zishike amri.