Zaburi 135:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Haleluya. Lisifuni jina la BWANA, Enyi watumishi wa BWANA, sifuni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Biblia Habari Njema - BHND Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake. Neno: Bibilia Takatifu Msifuni Mwenyezi Mungu. Lisifuni jina la Mwenyezi Mungu, msifuni, enyi watumishi wa Mwenyezi Mungu, Neno: Maandiko Matakatifu Msifuni bwana. Lisifuni jina la bwana, msifuni, enyi watumishi wa bwana, BIBLIA KISWAHILI Haleluya. Lisifuni jina la BWANA, Enyi watumishi wa BWANA, sifuni. |
Ndipo Walawi, Yeshua na Kadmieli, na Bani, na Hashabneya, na Sherebia, na Hodia, na Shebania, na Pethahia, wakasema, Simameni, mkamhimidi BWANA, Mungu wenu, tangu milele na hata milele. Na lihimidiwe jina lako tukufu, lililotukuka kuliko baraka zote na sifa zote.
Haleluya. Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote, Barazani pa wanyofu wa moyo na katika mkutano.
Njoni, enyi watumishi wote wa BWANA, Mhimidini BWANA Ninyi mnaohudumu usiku Katika nyumba ya BWANA.
Na walisifu jina la BWANA, Maana jina lake peke yake limetukuka; Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.