Zaburi 134:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC BWANA akubariki toka Sayuni, Aliyeziumba mbingu na nchi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia. Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia. Neno: Bibilia Takatifu Naye Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni. Neno: Maandiko Matakatifu Naye bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni. BIBLIA KISWAHILI BWANA akubariki toka Sayuni, Aliyeziumba mbingu na nchi. |
Laiti wokovu wa Israeli ungetoka katika Sayuni! BWANA awarudishapo wafungwa wa watu wake; Yakobo atashangilia, Israeli atafurahi.
Ufunuo wa neno la BWANA juu ya Israeli. Haya ndiyo asemayo BWANA, azitandaye mbingu, auwekaye msingi wa dunia, aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake.
Hivyo Israeli wote wataokoka; kama ilivyoandikwa, Mwokozi atakuja kutoka Sayuni; Atamtenga Yakobo na maasia yake.
Na tazama, Boazi akaja kutoka Bethlehemu na kuwaamkia wavunaji, akasema, BWANA akae nanyi. Nao wakamwitikia, BWANA na akubariki.